Mwananchi
-
Kinana ashangazwa fursa za Kiswahili kunufaisha ‘majirani’
Pamoja na Tanzania kuwa kitovu cha lugha ya Kiswahili, Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Abdulrahman Kinana amesema Watanzania si wafaidikaji…
Read More » -
Kisena wa Udart, wenzake wafikishwa mahakamani
Mkurugenzi wa mradi wa Usafirishaji wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam, (Udart) Robert Kisena(47) na wenzake wawili, wamefikishwa katika…
Read More » -
Uamuzi wa Mdee, wenzake wapigwa kalenda
Mahakama Kuu ya Tanzania imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kutaka kibali cha kufungua…
Read More » -
VIDEO: Fundi ujenzi atuhumiwa kuua wanafamilia saba kwa wivu wa mapenzi
Kigoma. Jeshi la polisi linamshikilia mtu mmoja, fundi ujenzi na mkazi wa Mlole, Manispaa ya Kigoma Ujiji, Peter Moris (33),…
Read More » -
Waziri amsweka ndani aliyesema hajali hata akifukuzwa kazi
Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel ameagiza kuondolewa madarakani kwa Mkuu wa Idara ya Ujenzi wa wizara hiyo, Paul Koroso…
Read More » -
Watatu wahukumiwa kunyongwa Njombe
Washtakiwa watatu Elias Jackson Mwenda (31), Hussein Khamis (31) na Orestus Mbawala (51) wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa…
Read More » -
Simulizi ya mwanaume alivyonusurika kifo sababu ya ukatili
Takwimu zilizotolewa na Serikali hivi karibuni zinaonyesha kuwapo kwa watoto 5,732 wanaoishi na kufanya kazi mitaani, kati yao wavulana wakiwa…
Read More » -
Kinara aliyesahaulika wa vuguvugu la demokrasia
Ukikutana naye mitaa ya Mwananyamala wilayani Kinondoni au pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi hutajihangaisha kumfuatilia.
Read More » -
Kuna nini TPA, kila anayeteuliwa anaondolewa kwa tuhuma
Hapakaliki, ndivyo inavyoweza kusema ukizungumzia kibarua cha kila anayeteuliwa kuongoza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Read More » -
Bei ya mafuta yazidi kupaa
Wakazi wa Dar es Salaam sasa wataanza kulipa Sh3,220 kwa lita ya petroli na 3,143 kwa dizeli huku wale wa…
Read More »