ITV Habari
Latest Video More Videos Latest News
WAWEKEZAJI na wazalishaji nchini wametakiwa kutumia huduma za Shirika la Viwango Tanzania (TBS), hususan katika sekta ya vipimo, ili kuimarisha ubora wa bidhaa zinazozalishwa nchini. The post TBS yahimiza ubora wa bidhaa first appeared on HabariLeo.
DAR ES SALAAM; TIMU ya Fountain Gate imeingia mkataba wa miaka minne na kampuni ya michezo ya kubashiri ya PigaBet kuwa mdhamini mkuu ili kuimarisha ushindani kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara. Akizungumza Dar es Salaam jana wakati wa hafla hiyo Rais wa Fountain Gate, Japhet Makau alisema makubaliano hayo yana thamani ya zaidi ya shilingi … The post Fountain Gate yasaini dili nono na PigaBet first appeared on HabariLeo.
MAPIGANO kati ya Iran na Israel yameendelea huku pande hizo zikishambuliana kwa makombora na droni. The post Iran, Israel zazidisha mashambulizi ya makombora first appeared on HabariLeo.
KATIKA muktadha wa maendeleo ya taifa lolote lile, amani, utulivu na usalama ni misingi isiyoweza kutenganishwa na ustawi wa jamii. Bila uwepo wa mazingira salama, ni vigumu kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii, kiuchumi na kisiasa. The post Vyombo vya Ulinzi na Usalama: Nguzo ya amani, utulivu na maendeleo ya taifa first appeared on HabariLeo.
DAR ES SALAAM; WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema uanzishwaji wa kiwanda kipya cha kutengeneza vifungashio unaofanywa na Kampuni ya SBC Tanzania Ltd kutachochea ajira kwa vijana mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma. Waziri Kapinga ametoa kauli hiyo alipotembelea kiwanda cha Kampuni ya SBC Tanzania Ltd inayozalisha pia vinywaji vya Pepsi na … The post Waziri Kapinga: Kiwanda cha vifungashio kitachochea ajira first appeared on HabariLeo.
Saturday brings Chisora’s retirement fight against Wilder, who famously accused Tyson Fury of […]
Fernandez will not play in either of Chelsea’s next two matches after the club sanctioned him for […]
Dutchman believes relations may be strained next time the players meet after Manchester clash.
Derek Chisora and Deontay Wilder will clash in a meeting of heavyweight legends
The all-British super-fight has been talked up for years, and there is fresh hope that it may come […]
Pep Guardiola said players losing form was a ‘normal process’ as Phil Foden fights for a berth […]
First-choice goalkeeper Alisson faces an extended spell on the sidelines although Alexander Isak […]
The rivals headline a weekend full of women’s fights, including several world-title bouts
The British rivals will headline a card full of women’s title fights on Sunday
The Gunners lost the Carabao Cup final 2-0 to Manchester City to end their dreams of an historic […]